Event
FADEMO WAKITOA MAFUNZO YA FEDHA KATIKA CHUO CHA UDOM
FADEMO ikitoa mafunzo ya elimu ya fedha kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), yenye lengo la kuwajengea uelewa kuhusu usimamizi wa fedha, kuweka akiba, uwekezaji na kufanya maamuzi sahihi ya kifedha kwa ajili ya kujenga mustakabali bora wa kiuchumi.
21 Nov 2026, 09:52 UDOM













