Nunua Hisa
Chagua idadi ya hisa na mpango wa muda unaokufaa.
Jenga umiliki kupitia hisa na mpango unaoeleweka
Nunua hisa za FADEMO, chagua muda wa uwekezaji na fuatilia principal, thamani na faida ndani ya dashboard yako.
Ukurasa wa Muwekezaji unaunganisha ununuzi wa hisa, portfolio, muda wa uwekezaji na maombi ya faida.
Chagua idadi ya hisa na mpango wa muda unaokufaa.
Angalia hisa ulizonazo, principal na thamani ya sasa.
Fuatilia tarehe ya kuanza, miezi iliyopita na maturity.
Angalia faida iliyokusanyika kwa uwekezaji uliokamilika.
Endeleza uwekezaji kwa kuongeza muda wa mpango.
Tuma ombi la faida kulingana na uwekezaji unaostahili.
Jisajili kama mwanachama au mwekezaji.
Weka idadi na muda wa mpango.
Kamilisha malipo kwa njia iliyopo.
Angalia portfolio na faida kwenye dashboard.