Mafao ya FADEMO

Ulinzi wa kijamii unaokua pamoja na mchango wako

Huduma kwa mwanachama

Msaada kwenye hatua muhimu za maisha.

FADEMO inaunganisha michango ya wanachama na mafao ya muda mfupi na muda mrefu. Angalia huduma, ingia kwenye akaunti yako, kisha tuma ombi lenye nyaraka zinazohitajika.

Huduma za mafao
Mafao 12 kwa mwanachama na wategemezi
12Aina za mafao
Short + LongMuda mfupi na muda mrefu
OnlineMaombi na majibu ndani ya akaunti
Katalogi ya mafao

Chagua huduma unayotaka kufahamu

Kiasi na ustahiki hutegemea ada, muda wa uchangiaji, deni na ushahidi wa tukio.

Mafao ya Uzazi

Mafao ya Uzazi

Msaada kwa mwanachama hai baada ya kupata mtoto.

Hadi TZS 2,500,000
Kufunga Ndoa

Kufunga Ndoa

Msaada kwa mwanachama anayefunga ndoa akiwa hana deni.

Hadi TZS 1,500,000
Ujenzi wa Nyumba

Ujenzi wa Nyumba

Mabati au fedha kulingana na kiwango cha ada na uthibitisho wa ujenzi.

Hadi TZS 3,000,000
Gari la Ndoto

Gari la Ndoto

Cash support ya kuongeza kwenye ununuzi wa gari la biashara au kazi.

Hadi TZS 3,000,000
Matibabu na Afya

Matibabu na Afya

Msaada wa matibabu na uchunguzi wa afya kwa mwanachama anayekidhi vigezo.

Msaada wa afya
Msaada wa Mazishi

Msaada wa Mazishi

Msaada unapofiwa na ndugu wa karibu waliotambuliwa kwenye kanuni.

Hadi TZS 1,500,000
Kinga ya Majanga

Kinga ya Majanga

Kinga dhidi ya ajali kubwa, moto, mafuriko au uvamizi.

Hadi TZS 800,000
Uzeeni na Pensheni

Uzeeni na Pensheni

Kiinua mgongo na pensheni kwa mwanachama aliyefikia vigezo vya kustaafu.

Mafao ya muda mrefu
Mirathi kwa Wategemezi

Mirathi kwa Wategemezi

Msaada kwa wategemezi wa mwanachama aliyefariki.

Kwa wategemezi
Jinsi ya kuomba

Hatua nne rahisi

Ingia kwenye akaunti

Tumia akaunti yako ya mwanachama.

Chagua fao

Fungua Mafao Dashboard na chagua huduma.

Pakia nyaraka

Ambatisha nyaraka na ushahidi wa tukio.

Fuatilia jibu

Angalia status na majibu ndani ya dashboard.

Uko tayari kuomba fao?

Ingia kwenye akaunti yako au jisajili kuwa mwanachama.